RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Plastic Technology Enterprises Bw. Multala S.Juma May 3, 2024
WAJUMBE wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi May 3, 2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Mwinyi, akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar May 3, 2024