Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar

Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda

BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA ZANZIBAR

Dira na Dhamira

Dira ya ZNBC

Kuwa moja ya Baraza linaloheshimika na lenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya Zanzibar.

Dhamira ya ZNBC

Kuimarisha mazingira mazuri ya kibiashara kwa kuweka umoja na utendaji wa wadau wote wa biashara kwa kuhakikisha uwepo wa miundombinu na sera nzuri za biashara pamoja na kuunda fursa zinazoweza kukuza biashara ndani na nje ya Zanzibar.