Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar

Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda

BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Plastic Technology Enterprises Bw. Multala S.Juma

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Plastic Technology Enterprises Bw. Multala S.Juma, wakati akitembelea maonesho ya Wafanyabiashara Zanzibar, kabla ya kuongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa […]

WAJUMBE wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi

WAJUMBE wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya […]